Recent News and Updates

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, Ameshiriki Katika Hafla Fupi ya Chakula cha Mchana Iliyoandaliwa na The ONE Campaign.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, ameshiriki katika Hafla Fupi ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na The ONE Campaign katika ukumbi wa Capitol Hill, Washington, D.C. tarehe 12.11. 2024 Read More

VACANCY ANNOUNCEMENT AT THE EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

VACANCY ANNOUNCEMENT AT THE EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Read More

Ubalozi wa Tanzania Ukiambatana na Viongozi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA) Washiriki Tuzo za Viwanja ya Ndege, jijjini Atlanta, Georgia.

Ubalozi uliambatana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA) kupokea tuzo iliyotolewa kwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ambao umeshinda tuzo ya kutoa huduma bora kwa wateja kwenye kipengele cha viwanja… Read More

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla iliyoandaliwa na International Club of Annapolis (ICA) iliyofanyika katika jiji la Annapolis, jimbo la Maryland.

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla iliyoandaliwa na International Club of Annapolis (ICA) iliyofanyika katika jiji la Annapolis, jimbo la Maryland. ICA inaundwa na wanachama kutoka kada na… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in USA

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in USA