Kwa kushirikiana na programu ya Passport DC: Around the World Embassy Tour, tumefurahi kupokea wageni zaidi ya 1,000 Ubalozini leo ambao walikuja kujifunza na kuona vivutio vya Tanzania; utamaduni na ukarimu wa Tanzania, pamoja na fursa mbalimbali zinazopatikana Tanzania.