Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Elsie Kanza Awasili Rasmi Mjini Washington, D.C

 • Mhe. Elsie S. Kanza, Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akiwasili rasmi Mjini Washington D.C kwenye picha akipokewa na Bi. Jean Msabila aliyekua Kaimu Balozi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles.
 • Mhe. Elsie S. Kanza, Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani na Mexico awasili rasmi Mjini Washington D.C, kushoto ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Kanali Festusi J. Mang'wela na kulia ni Bi. Jean Msabila aliyekua Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico
 • Picha ya pamoja
 • Watumishi wa Tanzania House wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza
 • Watumishi wa Tanzania House wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza
 • Kushoto ni Bi Sophia V. Gunda, Mwambata Uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani akiwa katika picha na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza siku alipowasili Washington, D.C.
 • Baadhi ya waatumishi wa Tanzania House wakiwa na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza mara tu alipowasili Washington, D.C. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 • Mhe. Balozi Elsie S.Kanza alisalimiana na watumishi wa Tanzania house.
 • Mhe. Balozi Elsie S. Kanza akikaribishwa rasmi Tanzania house , Washington D.C na Bi. Jean A. Msabila, Afisa Ubalozi
 • Mhe. Balozi Elsie S.Kanza, alisalimiana na Watumishi wa Tanzania House- Washington D.C
 • Elsie S.Kanza asaini kitabu maalum mara baada ya kuwasili Tanzania house, Kituo chake kipya cha kazi , Washington D.C
 • Elsie S.Kanza asaini kitabu maalum mara baada ya kuwasili Tanzania house, Kituo chake kipya cha kazi , Washington D.C
 • Mhe. Balozi Elsie Kanza , akipata maelezo mafupi kuhusu kituo chake kipya cha kazi kutoka Bi. Jean A. Msabila, aliyekua Kaimu Balozi akiwa pamoja na wajumbe wengine wa menejimenti ya Ubalozi.
 • Mhe. Balozi Elsie Kanza , akipata maelezo mafupi kuhusu kituo chake kipya cha kazi kutoka Menejimenti ya Ubalozi.
 • Picha ya pamoja
 • Picha ya pamoja
 • Picha ya pamoja