News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza akiwa na wadau wa sekta ya uwindaji kutoka Tanzania na Marekani wakati wa maonesho ya uwindaji jijini Nashville, Tennessee.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza amezungumza na baadhi ya wadau wa sekta ya uwindaji kutoka Tanzania na Marekani wakati wa maonesho ya uwindaji jijini Nashville, Tennesee. Lengo la mazungumzo hayo ni…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, akiwa na wadau wa sekta ya uwindaji kutoka Tanzania na Marekani, Jijini Dallas, Texas, Nashville na Tennesee

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, amezungumza na baadhi ya wadau wa sekta ya uwindaji kutoka Tanzania na Marekani, wakati wa maonesho ya uwindaji jijini Dallas, Texas. Lengo la mazungumzo hayo ni kuiboresha…

Read More

Mhe. Dkt. Elsie S. Kanza, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani amekutana na Mhe. Bruce Westerman, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Marekani ya Masuala ya Maliasili

Mheshimiwa Dkt. Elsie Sia Kanza, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Bruce Westerman, Mwakilishi kutoka Jimbo la Arkansas ambaye pia ni Mwenyekiti…

Read More

Rais wa Marekani Joseph R. Biden, akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani

Rais wa Marekani Joseph R. Biden, akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Dr Elsie S. Kanza katika Ikulu ya Marekani, Washington, D.C. Udumu Uhusiano kati ya Tanzania na Marekani!…

Read More

HE Samia Suluhu Hassan met with US Vice President Harris Kamala in Washington

H.E President Samia Suluhu made official visit in United States recently where she met US Vice President Kamala Harris at the White House in Washington DC. The meeting among things that were on her schedule…

Read More