Balozi Kanza akutana na Meya wa Jiji la Dallas.

Mheshimiwa Elsia Kanza, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, amekutana na kufanya mazungumzo na na Meya wa Jiji la Dallas Mheshimiwa Eric Johnson. Katika mazungumzo hayo mambo mbalimbali yalijadiliwa…

Read More