News and Resources

Date Title Preview
08 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alifanya ziara ya kikazi katika Jimbo la Arizona kufuatia mwaliko wa Mhe. Tony Rivero, Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara ya Kimataifa ya Bunge la Jimbo la Arizona.
08 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, katika nafasi yake ya Amidi wa Mabalozi wa nchi za SADC jijini Washington, D.C. Julai 2026
08 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bw. David Reinecke kutoka Ofisi ya Masuala ya Anga za Juu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani pamoja na Bi. Kim Hurst kutoka NASA
08 Aug, 2026 UBALOZI WAADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI - 26 JULAI, 2026
08 Aug, 2026 Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa uwekezaji ulioandaliwa na Africa Global Chamber of Commerce, jijini Chicago, Illinois.
08 Aug, 2026 Mhe. Balozi alifurahi kukutana na Bw. Frank W. Garcia, Jr., Waziri Msaidizi wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Masuala ya Afrika
08 Aug, 2026 Mhe. Dkt. Elsie S. Kanza, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico alifurahi kumpokea Tanzania House, Mhe. Roelf Meyer, Balozi mpya wa Afrika Kusini nchini Marekani.
08 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa ni miongoni mwa wazungumzaji wakuu pamoja na Balozi Jessica Ba kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani
08 Aug, 2026 H.E. Amb. Dr. Elsie Sia Kanza was delighted to meet with Hon. Congressman Jonathan L. Jackson, Member of the U.S. House of Representatives from Illinois
07 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alijumuika na Mabalozi wenzake, Jumuiya ya Kidiplomasia, Viongozi na watumishi wa serikali na Bunge la Marekani, wanadiaspora wa nchi za Afrika - Juni 2026
07 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana kwa mazungumzo na Maj. Gen. Craig W. Strong, Mkuu (Adjujant General) wa Kikosi cha Walinzi wa Taifa cha Nebraska (National Guard) Mei 2026
07 Aug, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla iliyoandaliwa na taasisi iitwayo UBORA ya Atlanta, Georgia. Mei 2026
07 Aug, 2026 Ubalozi Umeadhimisha Siku ya Muungano (National Day) kwa Kufanya Mkutano wa Ibiashara (Business Luncheon). Mei 6, 2026
07 Aug, 2026 Ubalozi ulishiriki kwenye programu iitwayo Around the World Embassy Tour - Passport DC 2026
19 May, 2026 VACANCY ANNOUNCEMENT - DRIVER (LBS) MAY 2026, EMBASSY OF TANZANIA
19 May, 2026 SPEECH BY HER EXCELLENCY, DR. SAMIA SULUHU HASSAN, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF RECEIPT OF THE REPORT OF THE PRESIDENTIAL COMMISSION OF INQUIRY
27 Mar, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alikuwa ni miongoni mwa wazungumzaji kwenye mkutano wa wadau wa uwekezaji wa Marekani kwenye sekta za madini na nishati barani Afrika, March 2026
27 Mar, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa ni miongoni mwa wazungumzaji wakuu kwenye Mkutano Mkuu wa nchi wanachama wa shirika la International Cotton Advisory Committee (ICAC), March 2026
27 Mar, 2026 Ambassador Dr. Elsie Sia Kanza met for discussions with Mr. Jeffrey Graham, Head of the Office (SBO) responsible for Global Health Security and Diplomacy in the U.S. Department of State March 2026
24 Mar, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki sherehe ya sikukuu ya Eid al-Fitr iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu Watanzania (TAMCO), Machi 2026
24 Mar, 2026 Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki katika tukio la kuadhimisha St. Patrick’s Day lililoandaliwa na taasisi ya Tanzanian Children’s Project (TCP), Machi 2026
24 Mar, 2026 Ubalozi ulishirikiana na shirika la International Cotton Advisory Committee (ICAC) lenye makao makuu Washington DC kuandaa mkutano wa wadau wakuu wa sekta ya pamba na nguo nchini Tanzania, Machi 2026
24 Mar, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye shughuli ya mazishi ya Hayati Mchungaji Jesse L. Jackson, Sr., Machi 2026
24 Mar, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alipata heshima ya kushiriki halfa ya chakula cha asubuhi iliyoandaliwa na uongozi wa Ofisi ya Masuala ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Machi 2026
24 Mar, 2026 Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alifurahi kujumuika na Mhe. Muriel Bowser, Meya wa jiji la Washington, D.C. Februari 2026