News and Resources Change View → Listing

Siku ya Kiswahili Duniani Mwaka 2025

Katika kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani mwaka huu, Ubalozi ulishirikiana na Diaspora wa Tanzania na washirika wake wengine kufanya matukio mbalimbali yaliyolenga kutangaza Lugha hiyo adhimu na utamaduni…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki na kutoa hotuba maalum katika Mkutano wa 119 wa Chama cha Maafisa wa Fedha wa Serikali

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki na kutoa hotuba maalum katika Mkutano wa 119 wa Chama cha Maafisa wa Fedha wa Serikali (Government Finance Officers Association – GFOA) uliofanyika hapa…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 249 ya uhuru wa Marekani iliyoitishwa na Mhe. Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 249 ya uhuru wa Marekani iliyoitishwa na Mhe. Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Akiwa kwenye sherehe hizo,…

Read More

Ubalozi uliratibu na kushiriki kwenye ziara ya Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Marekani

Ubalozi uliratibu na kushiriki kwenye ziara ya Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Marekani ambako alimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa…

Read More

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bi. Maria A. Velez, Makamu wa Rais wa kampuni ya SBA

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bi. Maria A. Velez, Makamu wa Rais wa kampuni ya SBA ya hapa Marekani anayeshughulikia masuala ya uhusiano na Bw. Ravi Suchak, Mkuu wa Mambo…

Read More

Mhe. Balozi alishiriki kama mgeni maalum kwenye mkutano uliojadili kuhusu umuhimu wa teknolojia ya akili mnemba barani Afrika ambao uliandaliwa na Kituo cha Biashara cha Marekani na Afrika

Mhe. Balozi alishiriki kama mgeni maalum kwenye mkutano uliojadili kuhusu umuhimu wa teknolojia ya akili mnemba barani Afrika ambao uliandaliwa na Kituo cha Biashara cha Marekani na Afrika kilicho chini ya…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza aliungana na ujumbe kutoka Mkoa wa Dar es Salaam ulioongozwa na Dkt. Toba Nguvila, Katibu Tawala wa Mkoa huo ambao ulifanya ziara jijini Dallas, Texas

Mwezi Mei 2025, Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza aliungana na ujumbe kutoka Mkoa wa Dar es Salaam ulioongozwa na Dkt. Toba Nguvila, Katibu Tawala wa Mkoa huo ambao ulifanya ziara jijini Dallas, Texas.…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyoandaliwa na taasisi ya ONE ya hapa Marekani

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyoandaliwa na taasisi ya ONE ya hapa Marekani. Maadhimisho hayo yaliyofanyika ndani ya Bunge la Marekani (Capitol Building),…

Read More