News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza Akiwa Kwenye Picha ya Pamoja na Mhe. John James, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Masuala ya Afrika katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Marekani

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. John James, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Masuala ya Afrika katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Marekani baada ya kumalizika kwa…

Read More

JOINT PUBLIC NOTICE - Tanzania Opens the First Trade Office in the United States of America in Dallas, Texas.

On May 6, 2024, on the margins of the U.S. Africa Business Summit, H.E. Dr. Elsie Sia Kanza, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States and Mexico participated in the opening of the…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza Alikutana na Kufanya Mazungumzo na Bi. British A. Robinson, Mratibu wa Taasisi ya Serikali ya Marekani ya Prosper Africa

Tarehe 15 Mei 2024 Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana na kufanya mazungumzo na Bi. British A. Robinson, Mratibu wa Taasisi ya Serikali ya Marekani ya Prosper Africa. Madhumuni ya mazungumzo hayo ni…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, Amekutana kwa Mazungumzo na Dr. Faruk Taban, Rais wa North American University Kilichopo Houston, Texas.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, amekutana kwa mazungumzo na Dr. Faruk Taban, Rais wa North American University kilichopo Houston, Texas, kuhusu fursa mbalimbali za ushirikiano baina ya Chuo hicho na…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza Ameongoza Uzinduzi wa Chemba ya Biashara ya Tanzania na Marekani (Tanzanian American Chamber of Commerce) Ambapo Pia Alikuwa Mgeni Rasmi.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza  ameongoza uzinduzi wa Chemba ya Biashara ya Tanzania na Marekani (Tanzanian American Chamber of Commerce) ambapo pia alikuwa Mgeni Rasmi. Uzinduzi huo umefanyika jijini…

Read More

Mhe.  Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza Ameshiriki Katika Ufunguzi wa Ofisi ya Biashara ya Tanzania Jijini Dallas Chini ya Mpango wa “Foreign Trade Offices Initiative” wa Jiji Hilo.

Mhe.  Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya Biashara ya Tanzania jijini Dallas chini ya Mpango wa  “Foreign Trade Offices Initiative” wa jiji hilo.  Ofisi hiyo…

Read More

WEBINAR INVESTING IN TANZANIA GOVERNMENT SECURITIES

Join Zoom Meetinghttps://us06web.zoom.us/j/83719832611?pwd=fkPuoIYOqEO52nVs2rk5ZaA33KKuWS.1 Meeting ID: 837 1983 2611Passcode: 675450

Read More

GUIDELINE FOR PASSPORT APPLICATION FOR TANZANIANS LIVING IN THE UNITED STATES OF AMERICA AND MEXICO

GUIDELINE FOR PASSPORT APPLICATION FOR TANZANIANS LIVING IN THE UNITED STATES OF AMERICA AND MEXICO

Read More