Siku ya Kiswahili Duniani Mwaka 2025
Katika kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani mwaka huu, Ubalozi ulishirikiana na Diaspora wa Tanzania na washirika wake wengine kufanya matukio mbalimbali yaliyolenga kutangaza Lugha hiyo adhimu na utamaduni wake mzuri.… Read More









