Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu atembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington D.C., Marekani – Tarehe 05 Novemba, 2019 akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo.

  • Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Maafisa na Watumishi wa Umma katika Ubalozi huo.