News and Events Change View → Listing

Mkutano wa biashara ya bidhaa za kilimo kati ya Tanzania na Marekani.

Katika mwendelezo wa matukio ya kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 60 ya uhusiano kati ya Tanzania na Marekani, tarehe 07 Desemba, 2021, Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C. umefanya…

Read More

Balozi Kanza akutana na Diaspora wa Jiji la Houston, Texas Nchini Marekani.

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, amekutana na kufanya mazungumzo na Watanzania katika Jiji la Houston, Texas nchini Marekani.  Mhe. Balozi alitumia mkutano huo kujitambulisha rasmi katika…

Read More

Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani wakutana na wadau mbalimbali katika sekta za Biashara, Utalii na Uwekezaji.

Katika maadhimisho ya miaka sitini ya Uhuru wa Tanzania Bara na maadhimisho ya miaka sitini ya mahusiano kati ya Tanzania na Marekani, Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico umekutana na wadau…

Read More

Balozi Kanza akutana na Meya wa Jiji la Dallas.

Mheshimiwa Elsia Kanza, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, amekutana na kufanya mazungumzo na na Meya wa Jiji la Dallas Mheshimiwa Eric Johnson. Katika mazungumzo hayo mambo mbalimbali yalijadiliwa…

Read More

Co - Chair of the Economic Development Committee of the African Diplomatic Corps.

H.E. Dr. Elsie S. Kanza , Ambassador of the Tanzania to the USA has been elected a Co-Chair of the African Diplomatic Corps in Washington, D.C. The Committee is responsible for promoting Economic Cooperation…

Read More