Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza akiwa na Seneta Susan Collins, Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Bajeti ya Bunge la Seneti la Marekani.
Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki kwenye hafla iliyoandaliwa kwa heshima ya Mabalozi Wanawake, na Seneta Jeanne Shaheen, Kiongozi wa Upinzani wa Kamati ya Mambo ya Nje wa Bunge la Seneti la Marekani…
Read More






