Mhe. Dkt. Elsie S. Kanza, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani amekutana na Mhe. Bruce Westerman, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Marekani ya Masuala ya Maliasili
Mheshimiwa Dkt. Elsie Sia Kanza, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Bruce Westerman, Mwakilishi kutoka Jimbo la Arkansas ambaye pia ni Mwenyekiti…
Read More






