Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza Akiwa na Wanajopo Kwenye Mkutano wa Masuala ya Madini Uitwao SAFE Summit Uliofanyika Washington, D.C. Machi 12, 2024
Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa mmoja wa wanajopo kwenye mkutano wa masuala ya madini uitwao SAFE Summit uliofanyika Washington, D.C. Mkutano huo ulijadili kukuza na kuchochea uwekezaji kwenye madini…
Read More






