News and Resources Change View → Listing

OFFICIAL TRAVEL ADVISORY - NOVEMBER 2025

OFFICIAL TRAVEL ADVISORY NOTE FROM THE MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISIM - NOVEMBER 2025

Read More

PRESS STATEMENT BY HON. MAHMOUD THABIT KOMBO, MINISTER FOR FOREIGN AFFAIRS AND EAST AFRICAN COOPERATION REGARDING 2025 GENERAL ELECTIONS IN TANZANIA

PRESS STATEMENT BY HON. MAHMOUD THABIT KOMBO, MINISTER FOR FOREIGN AFFAIRS AND EAST AFRICAN COOPERATION REGARDING 2025 GENERAL ELECTIONS IN TANZANIA

Read More

Programu ya Afrika ya Taasisi ya Carnegie Endowment for International Peace (CEIP)

Ubalozi ulishirikiana na Programu ya Afrika ya taasisi ya Carnegie Endowment for International Peace (CEIP) kuandaa mkutano uliojadili uhusiano wa kibiashara baina ya Marekani na Afrika, mnyororo wa ugavi wa…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki kwenye jopo lililojadili nafasi ya Mabalozi katika kutekeleza Diplomasia ya Sayansi.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki kwenye jopo lililojadili nafasi ya Mabalozi katika kutekeleza Diplomasia ya Sayansi ambalo lilikuwa ni sehemu ya Mkutano wa Diplomasia ya Sayansi (Science Diplomacy)…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza amekutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani kutoka Jimbo la Illinois.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza amekutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani kutoka Jimbo la Illinois ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Kamati…

Read More

Iftar iliyoandaliwa na Mhe. Donald J. Trump, Rais wa Marekani

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alipata heshima ya kuwa miongoni mwa Mabalozi wachache walioalikwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Mhe. Donald J. Trump, Rais wa Marekani tarehe 27 Machi 2025 kwa ajili ya…

Read More

Ubalozi uliratibu ushiriki wa Mhe. Abdallah H. Ulega ( Mb.), Waziri wa Ujenzi kwenye Mkutano uliojadili uimarishwaji wa miundombinu ulioandaliwa na Benki ya Dunia hapa Washington, D.C.

Ubalozi uliratibu ushiriki wa Mhe. Abdallah H. Ulega ( Mb.), Waziri wa Ujenzi kwenye Mkutano uliojadili uimarishwaji wa miundombinu ulioandaliwa na Benki ya Dunia hapa Washington, D.C., ambao ulifanyika tarehe…

Read More