News and Resources Change View → Listing

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki kwenye mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Mhe. Jonathan Jackson na Mhe. Sheila Cherfilus-McCormick, Wabunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki kwenye mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Mhe. Jonathan Jackson na Mhe. Sheila Cherfilus-McCormick, Wabunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani (U.S.…

Read More

Around the World Embassy Tour: Passport DC.

Ubalozi ulifurahi kuwakaribisha zaidi ya watu 1,550 waliotembelea Tanzania House tarehe 03 Mei 2025 kupitia programu iitwayo Around the World Embassy Tour: Passport DC. Wageni hao walipata nafasi ya kujionea…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kama mwanajopo kwenye Kongamano la Masuala ya Nishati ya Umeme Duniani lililoandaliwa na Taasisi ya Edson Electric Institute ya hapa Washington, D.C.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kama mwanajopo kwenye Kongamano la Masuala ya Nishati ya Umeme Duniani lililoandaliwa na Taasisi ya Edson Electric Institute ya hapa Washington, D.C.Akizungumza…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza amekutana na kufanya mazungumzo na wanachama wa Young Presidents’ Organisation (YPO)

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza amekutana na kufanya mazungumzo na wanachama wa Young Presidents’ Organisation (YPO) kwenye hafla ya Chakula cha Jioni iliyofanyika hapa Ubalozini.  Mhe. Balozi alitumia…

Read More

Mkutano wa Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza pamoja na Wanadiaspora kwa njia ya mtandao

Kabla ya kuanza kwa mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na IMF, Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alifanya mkutano kwa njia ya mtandao na wanadiaspora wa Tanzania wanaoishi nchini Marekani na Mexico,…

Read More

The Government’s Response to Violence and Unrest That Transpired During and After the General Elections of 29 October 2025 in the United Republic of Tanzania

The Government's Response to Violence and Unrest That Transpired During and After the General Elections of 29th October 2025 in the United Republic of Tanzania

Read More

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KATIKA NGAZI YA SHAHADA YA UZAMILI - MASTER’S DEGREE

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KATIKA NGAZI YA SHAHADA YA UZAMILI - MASTER’S DEGREE

Read More