Ubalozi ulishiriki kwenye Kongamano la Dini na Mahafali ya Chuo cha Kimataifa cha Biblia cha Umoja (Umoja International Bible College) kuanzia tarehe 07 hadi 09 Machi 2025, jijini Dallas, Texas
Kufuatia mwaliko kutoka kwa uongozi wa Makanisa ya Umoja ya hapa Marekani, Ubalozi ulishiriki kwenye Kongamano la Dini na Mahafali ya Chuo cha Kimataifa cha Biblia cha Umoja (Umoja International Bible College)…
Read More






