Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alipata heshima ya kuwa miongoni mwa Mabalozi wachache walioalikwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Mhe. Donald J. Trump, Rais wa Marekani tarehe 27 Machi 2025 kwa ajili ya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Get all latest updates from the Embassy in Your Inbox