Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, ameshiriki katika Hafla Fupi ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na The ONE Campaign katika ukumbi wa Capitol Hill, Washington, D.C. tarehe 12.11. 2024