Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alifurahi kujumuika na Mhe. Marco Rubio pamoja na mke wake, Bi. Jeanette Rubio, na Mabalozi wa nchi nyingine na Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwenye hafla ya Sikukuu ya Noeli iliyoandaliwa na Mhe. Rubio. Mikusanyiko kama hii ni muhimu sana katika kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Marekani na nchi nyingine zinazoshiriki.
